Real flick - Chunga huyo wako shawty

0:00
0:00
Real flick - Chunga huyo wako shawty

ukiniona ndani ya club na shawty wa kiarab machain ya dhahab Tunapokuwa club (ay) Chunga huyo wako shawty Ujue mi staki story sijui ni wako shawty Usilete zako story Nilimuona kwenye fashion show Nikamuuliza can we go akasema bora doo Mhh whatchu waitin for Tukiwa tunadance akaniambia very low Mi niko solo halaf ujue sina doo Hana kitu mfkon halafu tupo Diskon I swear she's hot like what kama tupo Jikon Najiona nipo home nikimtizama uson' Mi mwenyewe msanii Sijaja kuperform Akasema nialike mimi naja kupa home Naja kupa home ka wajua kuperform Mtoto mwenyewe mswahili ana Tabasam Naskia hana dili wanamuita mama utam Nikataka ku confirm kama ana utam like 1. 2. ana utam akaniambia hebu njoo can u kam Huku akilia kwenye floor can u kam

1 Comments

Leave a comment

Author
20 days ago

See track description ↑

User avatar
6.82k
Total plays
911
Followers
16
Following

You may also like