Interactions bila action,walikua watu thao,skuizi walimsahao pamoja kwa raaaa
Interactions bila action,walikua watu thao,skuizi walimsahao pamoja kwa raaaa kwa ngori ajikuta solo,kumbe hikua mapenzi ni mzaha mtupu ,mapenzi bila supu mkononi amekushia daga ukiturn anadunga , depression itakukill ,wacha ufala kua real unaeenda wanabaki wanashekea kifoo yako jamaa,mamaa jitume wanaume balaa bado ukoyoung , wanakupenda kwa raaa, ikiisha watakuacha njaa, usiwahizima hii taa mafunzo umepata kwamum na dad tumia akili usirush usifake juu watakujudge naskia walikuchase kwa church juu hukua na sadaka,,,wote watabebwa na caskets footi tisa wakijutia,niliwacheki last days enjoying last breath uchungu walikua wanaskia,wange kupea pass ungewarudishia staki kukuona ukilia, Nataka kuona ukithink clear , wale wote wa udu ebu clear ubaki smart ndo hii life upass , better pasts ,
You may also like

Leave a comment
See track description ↑
Slatt 💯