yeah yeah wyne gang jiniaz ,kush niga rastaman,mchizi wa bondeni,ugali kisosi,mboga kisoda,xtim za mjani,mitungi,stimu z
0:00
0:00
yeah yeah wyne gang jiniaz ,kush niga rastaman,mchizi wa bondeni,ugali kisosi,mboga kisoda,xtim za mjani,mitungi,stimu za poda,am back kwenye game,supersub on ze fom, shtuka man ,usije uku town,uku pulushani,uku kuna mitihani,so akili kichwani,bola ukaze shambani,apo uta make money,ila uache mambo flani,wizi uongo na ugoni,si unamkumbuka byser,yule mchizi tushamkosa,ashakula vitasa,kwa mjeda kisavisa,mzee,uku sio poa,vitimbi vinaendelea,jua linawaka linapoa,akili zinaluka zinanywea, mambo ni tiktaka ,mengine yapo zigzaga, ubize na familia,uku madada poa,huduma zote wanatoa,na kama aujaoa,watakuja kukufulia,na vichenji unatoa,yote fresh bado poa,mchakamchaka na dua,
You may also like

Leave a comment
See track description ↑