fan p_kwendaa
0:00
0:00
Kuhusu kufeli kiukweli siwazi Sio baiskeli sheli ndinga nawaza kuingiza michongo ya kweli utapeli kwisha Uongo utapeli meli utazamisha najali sana peace ukinipenda nakupenda mpendwaaa sina muda na masnichi ukinitenga nakutenga kwendaaa Mungu yu nami upinge we nani Hata shetani simuogopi na imani
You may also like

Leave a comment
See track description ↑
BOMB! 🧨