oyaa nitakuwepo nitakuja na shabani siwezi kukubali mwanaume nibaki ndani maisha magumu nishasota mashambani wapate tu w
oyaa nitakuwepo nitakuja na shabani siwezi kukubali mwanaume nibaki ndani maisha magumu nishasota mashambani wapate tu wenyew kwani wao wa kina nani oyaah kama utakuwep mwanangu nitafurahi shika kwanza gwara kifupi sikukatai oyaa mchukulize mudi usimsahau mpaka sae maendeleo ni sisi vijana tuungane ili tuyawahi oyaah mwanang nitabeba panga oyaah nitabeba shoka mwanang sitaki wanga oyaah kwanza ntamoka mwanang ntabeba fanta oyaah ntabeba coka oyaah mdogo mdogo mwanangu bila kuçhoka maisha magumu wahuni tuko kweny msot njaa zimejaa kila kona kila chocho oyaah hatuna hata mia kifupi yani changamoto ukiacha kuja mwanangu utakuwa mtoto oyaah hamn noma ntakuchek hiyo tareh usije ukaleta utoto yani kabla hujabaleehe nitamcheki sai nitamcheki na salehe si unajua kapata hela afu ni shereh hiyo tarehe 27 sio mbali yani mbina soon usisahau panga kwaajil ya kukata kuni kuchoma mkaa kwetu sisi tamaduni oyaah kazi juu ya kazi kuliko uwe muhu i
You may also like

Leave a comment
See track description ↑