fan p_Haya
0:00
0:00
Hapa hapa naanzia mbele ntakazia Chapa lapa kwenye njia mzushi unaensia Ndoa cjatangaza unadai talalaka game nshaiposa Mistari nasambaza inatakasa ka mafuta ya mwamposa nipo geto wambie watoto limoti nimeshika mimi wasake goto waache dezo wasipende sana chini natoa ruksa kugusa lenye heri nahodha stuka tupa mua shika meli
You may also like

Leave a comment
See track description ↑
Bars: Perfect 💯 Delivery: Perfect 💯 Impression: Perfect 💯