skia sijatokea kaskazini mtoto wasongwe natema madini njoeni muombe

0:00
0:00
skia sijatokea kaskazini  mtoto wasongwe natema madini njoeni muombe

skia sijatokea kaskazini mtoto wasongwe natema madini njoeni muombe tulifeli shule tuka amini madini yatatuokoa yata tutoa tuta toboa machimboni ndotozetu tukawekeza wilaya isio namipaka yoyote ana kalibishwa kuwekeza kwaeshima unae kuja kuwekeza ukawaeshimu wachimbaji wadogo wadogo itapendeza matayo mstali wa tisa kujichuchukulia maamuzi unajikuta wewe mungu yanimfano wakichaa kapewa lungu inchi yetusote nakira mwananhi anahaki wendo seleka kali sasa tuka kushtak wap sawa unatoa jila utatuajili wangap wilaya yachunya mbaka songwe unatufukuza tusi chimbe sasa tuka chimbe wap au unataka twende mjini tuka ombe apo ndotuna mkumbuka magufuli mtetezi wawa nyonge walipambania babuzetu ii nchi waka tulisisha wekila seem pako hayo mamlaka nanikakupa tunapo ele kea iinchi ita anza vita yawenyewe kwawenye kama kongo kama sudan bila kua nabunduki auna pakuchimba ivituna nyanyaswa nanani matayo ausele kali tumesha choka ii hali kazini unaenda kwamiguu anae kuja kuku fukuza yeanagali ii nimethali hau wewe ndosekali mana autaki mazungumZo tumeona tuya toe kwamistali

1 Comments

Leave a comment

Author
2 months ago

See track description ↑

User avatar
253
Total plays
11
Followers
16
Following

You may also like