fan p_Duuh !!
0:00
0:00
Saka pesa mingi kisha urilax Sio unaleta sifa nyingi kama dully saksi Kila kona piga mishe vua miwani uone vision We ninan unitishe naramani kwenye mishenii machiz tunahahaaa haso mtani kunanjaaa hapo Wengi tunalala laa machoo Usafiri dadalaaaa hatuna hata paso Mwenye nacho hakupi shavu fanya chapu linda maslahi Usiamini watu mana watu katu hawafai Farasi sio maksai ukimpa jembe utamuonea kitanzi hakuwi tai stuka mzembe ukuaji huitaji mbolea
You may also like

Leave a comment
See track description β
keep doing your thing George keep going famzo Bars: Dope π₯ Delivery: Dope π₯ Impression: Dope π₯
Bars: Dope π₯ Delivery: Dope π₯ Impression: Dope π₯
π©π«΅
Bars: Perfect π― Delivery: Perfect π― Impression: Perfect π―
Bars: Perfect π― Delivery: Perfect π― Impression: Perfect π―