God's great
Mungu nilinde na watu wenye roho mbaya ka saimo, pia niepushe na watu wenye husda ka sande, naomba nipe mtu mwenye utiifu kaa popo, nipe moyo wa bidii kaa rizii... et kwani mataani wanaogea nini? kuhusu mimi wala sijali, yangu malengo na bidii kufikia lengo.... magoti kila siku Mungu asikie sala zangu... bibi na mama wana niombea baraka... nizidi kufika kwa haraka .. eeeh Mungu tangulia mbele niandalie njia, niondolee mitego, yale mashimo waliyo chimba kwa ajili yangu naomba wafujifukie wao wenyewe... furaha yangu mwenyewe inawakera .. sina papara nina subira subira najua yangu inakuja hata kama itachelewa sina shaka... maana anae panga ni Maulana... wakati sahihi utafika wala sina shaka japo waliwahi wapo wengi sio patee tuu mpka kina baraka.. sitaki nyingi sana nataka kidogo kama kakaa. maisha ni foleni sina haraka nime ridhia moyoni Mungu anapanga pia anapangua eeh Mungu nakuamini wewe maana haupo kama sande ama saimon maana wangekuwa wao ndio wanapanga najua lazima ningekosa sofa
You may also like

Leave a comment