Dem wangu

0:00
0:00
Dem wangu

madem wengine wananiuliza ati we unaitwa nan nye nye nye eti naitwa nan hebu niondekee sura kama nyani hata like c ujipee piga hata miwani ndio kisha utokee watutisha mitaani kwanza kwe2 ctokee utapigwa na butwa ukiliona hilo shep toto lilooshwa kwa sabuni na mekap na sio la kukopwa linasema tuma chep eti amelishwa kwa sahani na makap okay.......... okay kiliona limetokea sijaribu kusogea halinaga umbea (utoto chekechea) cku zote hutembea chga chga kimkopea pamoja kama pair hauwezi kutudare

2 Comments

Leave a comment

Author
4 months ago

See track description ↑

1

G.O.A.T. 🐐 TOUGH 😮‍💨 Slidddd 🌊 Bars: Perfect 💯 Delivery: Perfect 💯 Impression: Perfect 💯

1
User avatar
84
Total plays
22
Followers
14
Following

You may also like