mbalamweni
Mbalamweni mbalamweni mbalamweni hoye mbalamweni hoye mbalamweni hoye. Wagiriama wakutoka mbalamweni kama wewe ushawahi kula kula sima sima na makumba rusha mikono juu. Rusha mikono juu rusha mikono juu. Wagiriama wakutoka pangayambo kama nyinyi mushawahi kula kula sima sima na mangonda mangonda na mangonda . Rusha mikono juu rusha mikono juu rusha mikono juu. Wagiriama wakutoka maluwani kama nyinyi mushawahi kula kula sima sima na papa. Rusha mikono juu rusha mikono juu rusha mikono juu. Wagiriama wakutoka gotani kama nyinyi mushawahi kula kula sima sima kole kole. Rusha mikono juu rusha mikono juu rusha mikono juu. Wagiriama wakutoka mudzini kama nyinyi mushawahi kula kula sima sima na samaki rusha mikono juu rusha mikono juu rusha mikono juu. Wagiriama hoye wagiriama hoye wagiriama hoye. Sisi Wagiriama tunapenda biashara biashara biashara kubwa kubwa kubwa kubwa.
You may also like

Leave a comment
See track description ↑