so I love so
0:00
0:00
nieleze ni jue , moyo wangu utue, imani na amaani kwa moyo ikue jinsi navyo hisiiiii ,kwa sa si rahisiiii mbona mbona ukuelewa navyo hiiiisiii nina mpenzi naye mpenda sana nishamweka mbele ya dunia anatabasamu sana ....oooh siijui nini nacho hitaji tena hii dunia ooh nahisi moyo wangu nishamvulia siweezi fikiria tena ,,,mapenzi yetu si sinema namuenzi sana basi we go far away far away usije tena karibu na mie moyo wangu usifikirie kirie niko sawa na yule naempenda
You may also like

Leave a comment
See track description ↑