hustle
🎤 Hook (Chorus): Ninapanda juu zaidi,na moto sixg Nina ndoto kichwani, na naifukuzia. Kila hatua nikipiga, na nguvu naimimina, Nikianguka nasimama, maumiv naamn yatakoma --- 🎵 Verse 1 (Beat 1): Nilianza chini kabisa lakini ndoto zimenibeba, Sasa natembea na nia, nimejaa nguvu na ndoto Walinicheka nilipoanza, lakini sikuacha njia, Nikageuza stress kuwa nguvu, minyororo nimevunjia. Kila usiku nilisukuma, nikipiga makali ya flow, Sasa mistari ni baridi inaweza kukuletea snow. Sibadili msimamo, mi husimama na ukweli bro, Mimi ni mfalme wa safari, dunia itanijua slow. --- 🎵 Verse 2 (Beat 2): Level juu, siku mpya, nguvu imenipanda sana, Nina macho kwenye malengo, nilizaliwa kuwa namba. Kila changamoto ikija, naibadilisha kuwa dhahabu, Mimi ni shujaa wa safari, bado najenga hadhi yangu. Hakuna hofu moyoni, ni nguvu na ndoto kali, Mimi hupambana hadi mwisho, sina tamaa ya kukata tamaa kabisa. Kwenye beat nakomaa, nakua, nathrive bila sita, Mimi ni kesho inayokuja na nyita inayong'aaa
You may also like

Leave a comment
See track description ↑