b13 panc 2
nakuja kamaticha nilie jitolea kuwafunza✌️ utanimwingi kama dingi msela akionawachumba😘 sautikiswaili fasaa sipodoi lafuzi kama masela mav wachuga🥴 ,,minakaza deile waowanakazana kuniiga bekizao azikabi kama beki zasimba👌 kwamichanotu nawapa mabadiliko ndani yamwili kama mwanamke mwenye mimba🫄 kidume cha songwe. nilie jikubali kwetu tuna kula panya buku atapanya lodi 100 wadaa pp orawawezi kunizuia i safal🧌🧌🧌 kama unaisi unaniweza unajidanganya mimi niasla wewe una fek raifu unategemewa sawa ilando kwazalula kama pawa benk😭😭 kujikubali ndouchawi tosha kikubwa hafya🙏 esy (((-?_? lapu yangu shule naitaji sa"; bb gun review luti kila niki rap mi maemc wanapeana ushauli wakaze but 🥾🥾 niliwaona nimala fiki kumbe masnichi bilaugomvi nawawekea mipaka kama chunya na songwe🪖🥷 napiga panchi kama brusili atauje nafimbo kamashaulingi atamoja unigus🎠❌ tafuta ela acha brandi zuchunalisha tangaza analiwa bat ata kwabuku💵💴 lapa vam imbaimba kazi zipo nyingi zakufanya⚒️⚒️ nimesimama kama kibendera nawa elekeza watu wazima mshindi nan ikiwa nawaowana erewa ukwerk you have ppri ila ubishi tu?😭 uu uwezo nautoa bule kwama mc wa songwe najivunia minishule yabule kazikwa??? waambie 13 apa songewe boy weibak chunya toka chimbo sikia dundo ilo
You may also like

Leave a comment
See track description ↑