Rest in peace baba

0:00
0:00
Rest in peace baba

mkasa ,mashaka, msiba imetuingia tukiskiza sauti yako machozi tunalia tukikumbuka ushauri tunashindwa vumilia tunalialia hatuamini umetukimbia baba yetu kwa ushupavu umetupigania haki zetu bila wewe tungefanya kuziskia tu haba imejaza kibaba,kwaheri baba uhalisia unakaba ,rest in peace baba historia yako itabaki kumbukwa umeisogeza Kenya mbele japo kiti haukugusa umebadilisha mingi ya msingi hayakupotea haukupigania yako ni yetu ulitutetea umeponea misuko suko haukutokomea ukasimama kidete nyuma hukurejea weni jasiri baba kwa yote uliopitia weni mfano bora wa sote kufatilia we n mwalimu mana mafunzo umetupatia mbele yetu nyuma yako sote tunakuja pia weni shujaa wakuandikwa kwa vitabu maisha yako kiukweli umejitahidi babu kwa taadhima tuchonge sanamu lako kama kiongozi bora tungumbuke uwepo wako ni zito baba pengo lako alizibiki huu mchaka mchaka nani ata udhibiti sidhani kama umetuacha mikono salama ila uwendako baba uwende mahala salama baba wape salamu kibaki na moi waambie handshake umefanya ya mwisho imekuacha hoi msalimie saitoti mwambie mambo ni hot vijana wanataka mamlaka na utawala kwaforce msalimie kenyatta,mwambie uhuru alikwenda nao uhuru uliobaki nikuungana nao usimsahau wangari mwambie miti imekwisha miti mikuu imeanguka ndege makaazi wamekosa pumzika kwa wema baba umetuheshimisha kiongozi bora Afrika nzima umetuwakilisha hatutosahau upendo wako na imani tutasikiliza hotuba zako tukikutamani

5 Comments

Leave a comment

Author
9 months ago

1

BOMB! 🧨 LIT 🔥 FIRE 🔥 Tell em 🎤 🦾 💯 Bars: Perfect 💯 Delivery: Perfect 💯 Impression: Perfect 💯

Straightenin' 👌 WAKE EM UP 🗣️🔊 Slatt 💯 ❤️‍🔥💎❤️‍🔥💎❤️‍🔥💎❤️‍🔥💎❤️‍🔥💎❤️‍🔥💎 Bars: Perfect 💯 Delivery: Perfect 💯 Impression: Perfect 💯

Respect 🤜🤛 Bars: Perfect 💯 Delivery: Perfect 💯 Impression: Perfect 💯

9 months ago

Respect 🤜🤛 FIRE 🔥 Keep grinding ✊ Bars: Perfect 💯 Delivery: Perfect 💯 Impression: Perfect 💯

User avatar
1.65k
Total plays
154
Followers
31
Following

You may also like