made again
0:00
0:00
Ey bro mjin akili nguvu weka kama ziada mana watoto wadogo jeuri ni Mingi Ey dogo mi ndo Mkubwa wako Acha kiburi so amkia kama blue shikamo baba yeah check beat nimelituliza an Nakuja kwa kasi ya 4g mana nimechafukwa kinoma nawakanda kama Mandongaah. Ahaa mie kama lunya sio mchoyo wakujisifia an pisi hazipo so sio mwendo Wa spakles ni mwendoo nyeeh tu hahaha oh my God whos that atakua nan mwingine kama si mim zombie na meneja ang Mkubwa shadee. An kama ndege twafly
You may also like

Leave a comment