oupah
0:00
0:00
wakianza kuuliza si ni akina nani si ni wa maenzi kitambo ile time ya wahenga kawaida njiti yulalanga ndani mi upeleka shawty na mbio ya caster semenya mimi na wewe nani mkalimani game yangu imeiva nimeipika na agenda akili nywele akili nyingi ni nati wale huskiza ngoma zangu mi najua nawapenda ni kachoyo kananyima the needy ukiambiwa siri we kanyagia chini na sijalewa niko glasi ya pili iyo pilipili yenye hudishi inakuashia nini its not a drill nikispit kwa ii beat
You may also like

Leave a comment