Sunburst (09:28)
staki Mambo mengi,nishachoka kuwafata watu,tena wasio na maana katika maisha yangu,msaada wao kwangu siku zote kwao hua mdomo,yakusema hawakosi,/kama unanipenda basi mimi nakupenda, kama hunipendi bado mimi nakupenda,kama unanijali basi mimi nakuhitaji,hata ikiwa hunitaki ukitaka nikusaidie nitakupa chochote nachowezaa/, sijaishi saana sijaona meengi yote hayo nilizaliwa juzi,wewe unaniona mimi nimekomaa akili mwili,mimi najiona sijakomaa kiroho kiimani,sababu ni kwamba hata nikila vipi sishibi, vyakula vya kiimani kiroho ndivo natafuta,/kama unanipenda basi mimi nakupenda,kama hunipendi bado mimi nakupenda,kama unanijali basi mimi nakuhitaji,hata ikiwa hunitaki ukitaka nikusaidie nitakupa chochote nachowezaa,nimejua ukweli tena ukweli,ili nijaribu kuwa kamili nifanye mambo angalau kamili,lazima niwe na roho safi,mcheshi na nichangamke,pia nisichague watu wa kutembea nao,/kama unanipenda basi mimi nakupenda,kama hunipendi bado nakupenda,kama unanijali basi mimi nakuhitaji,hata ikiwa hunitaki ukitaka nikusaidie nitakupa chochote nachoweza, nilitembea sehemu aina nyingi,nikaona aina ya watu,wengi wao walinikataa,ila nilijipa moyo nikaendelea kuishi na wao alafu nikaamini mungu ananipenda,katika maisha yangu sijaogopa maswali kwakuwa sijakosa kuswali msikitini,licha ya kuonyeshwa madharau sijawahi dharau watu,watu ni mali mali ni watu,kama unanipenda basi nakupenda,kama hunipendi bado mimi nakupenda,kama unanijali basi nakuhitaji,hata ikiwa hunitaki ukitaka nikusaidie nitakupa chochote nachowezaa,
You may also like

Leave a comment
See track description ↑