evanny
0:00
0:00
when i loook at your eye what i see is love valentine surprise nothing else is flowers swaga za zamani skuiz pisi zime change zime change attitude mtoto anataka gari kipendacho moyo ulikuaga ni utani pesa inaongea moyo punguza complain bila pesa hutoboi kama ndoo bila maji zidi saka maney watakuita honey wengine shugga daddy sifa ya macho kuona kila unaye muona mwenye mlima anakufaa jiulize vipi kubunda kinasoma kinachoelea jua kimeundwa unapenda boga yoga yoga alafu hunapesa unachekesha utakesha ukingoja miujiza
You may also like

Leave a comment