action

0:00
0:00
action

nachanganya midundo kama brigadia alafu kwa hip-hop mamba najivunia nisana nikichana mamba kama mafia mistari kwangu kwangu mamba kama lubia najaza kwa mdundo sana na nawania mabeat ziko mingi kali nakugawia mistari kwa mdundo mamba nakumwagia wepesi uko gali usilale kwenye kifua sekunde zikisonga bado beat naivua nahii nkichana machizi wanaugua

2 Comments

Leave a comment

Author
1 year ago

Hard 👊

User avatar
1.97k
Total plays
180
Followers
203
Following

You may also like