Left Right (21:44)
nicheki nicheki weka kando jaba x2,staki stori za jaba x2,nimechoka kusikiza mambo yako issue zako hazina mana kwangu,huna hata salamu wee,ukiniona tu fifty fifty,wewe ni rafiki kweli ama wewe ibilisi, achana nami hata hunisaidii mi saidi zaidi,unapenda kuu speendi hata huna peesa,nicheki nicheki weka kando jaba x2,staki stori za jaba x2,nimechoka kusikiziza mambo yako issue zako hazina mana kwangu,mbio zako siwezani nazo masafa yako ni marefu sana,nimeachana na wewe usinifuatilie niache peke yangu,naogopa kufilisiika ufakara shetani,nicheki nicheki weka kando jaba x2,staki stori za jaba x2,nimechoka kusikiza mambo yako issue zako hazina mana kwangu,mi siko hizo rada zako,kweli sikatai mi jaba nachonga baada ya kujipaanga,kwa mademu nimekuli tu kiasi tu,sipendi Mambo mengi naogopa kichwa kichafukee,sina wakati ya kuelezea historia yangu,nicheki nicheki weka kando jaba x2,staki stori za jaba x2.
You may also like

Leave a comment
See track description ↑