No Risk No Progress

0:00
0:00
No Risk No Progress

utabeba lawama ama ubebe fedheha uku kwetu lawama cheo ndio sheria tulioekewa laana pole au baraka kukemewa mbivu aihivi tena inaaribika ukichelewa utangoja sana ama uanze tembea hadi subra ikivutana wakti ushapepea kiwa unaweza fnya usijijaribishe ukiona kosa inabidi urekebishe haiba kuomba aibu ujidhalilishe si kiwete si kilema why usjiwakilishe michano y waja usiwaze uumie Mungu ana panga iwe lau ama isiwe nani na nguvu afanye hewa upimiwe nastruggle kujenga imaya yangu slow jiwe by jiwe kwnza na aim ikishatiki na claim napmbna ambavyo haviwezekaniki na tame naeka tofauti over time not the same again kiujuzi superiority ka flame na achieve ma goals na achieve ma targets natka kuearn more nijaze my empty pockets wanaokereka this round wapte teta waliogubwikwa wingu la wivu wapte nyesha. waliona vidonda vya chuki nawatonyesha walio against mm nawashenyenta I mean hta ww unaweza sote tustep up io naitwa kujiongeza kujiboresha na mbele kujisogeza unapoenjoy furaha iwe kujpongeza ama tueke limitation ule mvivu asile gawe tabaka kati y hil na lile tusake njia ya kwa kinjeketile atibu ugonjwa wa umaskini aitike tawire Muoga askae,na kla mtu akomae. tafuta shugli ama ubaki uzubae heri kukosa kulko not to try daily busy dizzy dizy utakufanya upumbae risk takers are money makers ficha mipango,mafanikio yatajionyesha iko bidii iko vipaji iko kujisomesha iko ya Mungu bahati akuna wakuibetesha No risk no progress hakuna kulala niko na dreams zkuchase no risk no progress pmbna fight never know fate whats next

1 Comments

Leave a comment

Author
2 years ago

User avatar
79
Total plays
10
Followers
4
Following

You may also like