DE ROCK - BOOM

0:00
0:00
DE ROCK - BOOM

mtaani kwetu bhana watu kama wana lana mijitu mizima inatembea na vijana ooya wanazingua sanaaaa heshima hakuna bhana eti kakataa shule anataka kuwa boda oyaaaaah wanangu buuum mpakaaaa leeeeee watoto wadogo waende shuleeeeeeh × 3 simple simple life lawatu mbona liko simple mizigo yawatu unajibebesha what u wanna broo umelala umeamka ujue ndoishapita siku korogwe rappa ukiniuliza namba moja zikuh marapa feki wakauliza what is going on mkushi nakush nkawajibu what de stupid talk mi sina bifuuuuh nawaofos bifuuuuh ndomaaana nna kila kitu nanaongezea vituuuuuh

1 Comments

Leave a comment

Author
2 years ago

User avatar
246
Total plays
39
Followers
64
Following

You may also like