Money (19:48)

0:00
0:00
Money (19:48)

mimi si fisi i say no no no no yeah no no mi nishasma no,huwezi nifosi fanya jambo lako lote,sina moyo wakufurahisha wote,mimi si remoti si roboti,napenda sana fanya Mambo yangu peke yangu,sifurahi watu wakijua njia zangu,si lazima unisalimie pita hatakama waitwa peter,mi mi sipendi ufala uswara,sitaki jaba mana haina maana, siwezi bangi inachosha akili,nikiwa steam mahesabu yako sawa,steam zikishuka kichwa kinauma sina nguvu tena,mimi si fisi i say no no no no yeah no no mi nishasema no,huwezi nifosi fanya jambo lako lote,sina moyo wakufarahisha wote,mimi si remoti si roboti,maisha ni kiboko hayataki michezo,ukicheza yanakupiga chini,masomo ya mitaa yanahitaji mooyo yanamaali maali,sihitaji akili nyingi nahitaji utulivu saana, imagine niko town lakini inakaa bado niko ahule,tena town inazidi shule,mimi si fisia i say no no no no yeah no no mi nishasema no,mimi si remoti si roboti,hatakama kuna mvua mi sivai jakeet gamboot,kama nimekosea polisi unaweza nishika,mi nakubali makosaa hata ikiwa nimekosewa,kuishi hatuhitaji akili nyingi sana,wajanja wengi wewe acha ujanja mwingi,mimi si fisi i say no no no no yeah no no mi nishasema no,mimi si remoti si roboti.

1 Comments

Leave a comment

Author
2 years ago

See track description

User avatar
724
Total plays
100
Followers
15
Following

You may also like