Messages (13:08)
watu ndio life knife yeahh jifundishe kuishi naoo x2,nilizaliwa juzi tu eti nimetoka mbaali nimepitia meengi,visa vyakutisha niliona,changamoto nyingi sana, huku mtaani akili nyingi sana inatumika,ukizubaa unapigwa rekii,mtaa hautaki utani,ukiwa fiti unapiga vizuri unafloww,watu ndio life knife yeahh jifundishe kuishi naoo x2,maisha ni mafupi binadamu wengi wana mengi,utajua mengi kupitia wao wewe huwezi understand peke yako,wacha nikwambie unajua vile wewe unaenda vibaya,yani wewe uwe mgumu maisha nao ni magumu,watu ndio life knife yeahh jifundishe kuishi naoo x2,unajua kwamba hasira na kubiri ni vitu vibaya,mbona uwe hivoo changamka toa nongoo,juzi nilikutana na wewe ukanisalimia kwa kunitupia matope,kwa sababu ulikuwa ndani ya BMW,jua hatua zako zi zangu malengo yangu si yako,mwenye hatua malengo zaidi ni mungu,watu ndio life knife yeahh jifundishe kuishi naoo x2.
You may also like

Leave a comment
See track description ↑