liconnect

0:00
0:00
liconnect

wolan ndio hii mwangaza tunacome tuki liconnect ola ndio si Likoni tunawakilisha likonect sifa zinasikika mbali kote wanajua, tunasonga kila hali kila siku ni hatua tunasinga vy halali, tunasombeza na dua, hatuko pure hatujali tunachomeka na jua tunakuja kali kwnye pay tusiwe poor, tunakuwa na hii game tunazidi jua, tunagain more power tukipour tuko xure tunadhibiti izi hali kwa kila hatua dua tunachakarika this time tunachakarika this round,yoo!! tunawajibika more times tunabaingiza all time yooh.. michakato stahili yetu mikamato shamiri mawazo akili yetu mitazamo bashiri maneno kalili vyetu vitendo kathiri miondoko yetu ya siri, mafanikio nawiri,maboya kwetu deal, mastruggle yetu daily, hatuko sana kiheri,usitucheze sheri, street na manjemba michezo ya tom and njerri nawaza hela kma wabara anavyowaza ferry. nasitosita kujichakarisha, nanitafika zitaponiita doo zilipo ndpo nitakapofika nitazisaka zinakojificha doo nikizipata zitanilisha zitanivisha zitaniadhimisha doo heshma ruhsa kutafuta si kudhalilika akili busara heri kubuni kulko kutumika kulazimishwa ama kulaghaika ama kuhadaika kufedheheka kubebeka ama kuabika kulimbwisa,kujiliza ama kuwasikiza kuwaigiza ama kuchimbishwa ,kunyimwa ama kuvishwa na kulishwa ama kukosa visa...

5 Comments

Leave a comment

Author
2 years ago

Champion 🏆

10 months ago

Bars: Perfect 💯 Delivery: Perfect 💯 Impression: Perfect 💯

10 months ago

The beat choice is top-notch, you da best in the game! 🎵👑 Bars: Perfect 💯 Delivery: Perfect 💯 Impression: Perfect 💯

10 months ago

Amazing 💎 Sickkkk 🤧 Sickkkk 🤧 Amazing 💎 Bars: Perfect 💯 Delivery: Perfect 💯 Impression: Perfect 💯

User avatar
1.65k
Total plays
154
Followers
31
Following

You may also like