Mystery

0:00
0:00
Mystery

Kichwa cha Nyimbo: "Niko Juu" (Intro) Yeah, yeah, Gano! Tena niko juu, juu! Ah, let's go! Hook) Niko juu (juu!), hawaniwezi mimi (mimi!), Gano kwenye beat, napiga bila limit (limit!), Kila flow kali, naipiga na spirit (spirit!), rqp iko juu, hii game ni ya milli! (Milli!) (Verse 1) Nilianza chini, sasa niko top, Wasioamini sasa wanakopi flow, Hustle ni kali, sipati sleep, Ndoto ni kubwa, siwezi slip. Macho kwa crown,naitaka hit Kwa. street wananiita king Naweka history kwenye kila ring. Niko sharp kama blade ya kisu, Kila line naangusha kama risasi ya rambo Game ya moto, naivuta kama jiko, Nawasha mitaa, kila kona ni moto! (Verse 2) Niache na hii, nasaka hela, Nimetoka mbali, sipati brella, Waliwahi nicheka, sasa wote wanajua, Kwa hii game niko ndani Wanatamani kufika nipo, Lakini nashika keys kama komando Mtaniona kwenye TV show, Big screen, bila cut na slow-mo. rap kwa mtaa imewaka, Gano niko fresh, sifanyi shaka, Nawasha speakers naandika kwa wino, Ningekuwa na wings ningepaa kwa fino. Chini siwezi rudi, niko na deal, Ngoma kila kona inachezwa na feel, Gano ndiye boss, wala si drill, Hii ni balaa, unaskia the thrill! (Hook) Niko juu (juu!), hawaniwezi mimi (mimi!), Gano kwenye beat, napiga bila limit (limit!), Kila flow kali, naipiga na spirit (spirit!), rqp iko juu, hii game ni ya milli! (Milli!) (Bridge) Chini siwezi rudi, niko na deal, Ngoma kila kona inachezwa na feel, Gano ndiye boss, wala si drill, Hii ni balaa, unaskia the thrill! (Outro) Niko juu, juu sana (yeah!), Kwenye game siwezi lala (nope!), Naandika headlines kwa mistari, Gano kwenye beat, mtaanza kudai!

1 Comments

Leave a comment

Author
2 years ago

See track description ↑

User avatar
333
Total plays
16
Followers
1
Following

You may also like