Hard (22:43)
0:00
0:00
kunywa pombe bado sijaacha,mi naogopa stressy stressy siweezi,nyasi goka nalo siliachi,sitaki unga kabisa mana inaniharisha,mi nataka kuwa free free,hizi rinda nilikesha nazo nilichoka nazo,leo nimeamua miimi nataka kuwa ustadhi,kwanzia leo rafiki yangu ni ustadhi,nimeamua kuwa goodi,nivaee kanzu kofia kilembaa miimi,adi washangae kama mimi,kunywa pombe bado sijaacha,mi naogopa stressy stressy siweezi,nyasi goka nalo siliachi,sitaki unga kabisaa mana inaniharisha
You may also like

Leave a comment
See track description ↑