verse 1

0:00
0:00
verse 1

siko sollo mii na stime za mjani,alinizidi fare akisema yupo njiani, mii na collo collo na mimi kejani,padlock kwa door utathani siko ndani,kila mdada anawaza mamondo,serekali bila hongo uongo,both side niko better iwe ni cash ama mpsa,maisha safi ukiwa na pesa,kuteleza na hata hakuja nyesha

1 Comments

Leave a comment

Author
2 years ago

siko sollo mii na stime za mjani,alinizidi fare akisema yupo njiani, mii na collo collo na mimi kejani,padlock kwa door utathani siko ndani,kila mdada anawaza mamondo,serekali bila hongo uongo,both side niko better iwe ni cash ama mpsa,maisha safi ukiwa na pesa,kuteleza na hata hakuja nyesha

User avatar
26
Total plays
6
Followers
1
Following

You may also like