Freestyle I

0:00
0:00
Freestyle I

Dj Black nipe za wap kule wanasema Zebaki Na hiz barz sio za uswaz nachanika payback Mtanzania alisia mweny siri ya Afrika Anae tambua hiz njaa machafuko na vita Hik kitabu kina vipnd unawez niona kwenye tv Nawafunza hisabat kwa hiz tungo nawaeka kat Sjui tembo sjui chui mamba simba wal nyati Mbuzi mtashi mtanashati dada zao hawan bahat Ona jins Mbuz sifumbi macho nkishambulia

1 Comments

Leave a comment

See track description ↑

User avatar
1.97k
Total plays
173
Followers
63
Following

You may also like