, ,,smuthstar balaa nyota ingaa ,kama kuchachana kushona ingekue nguo mngenita cherehani,sina mpinzani vina vizito mno
0:00
0:00
, ,,smuthstar balaa nyota ingaa ,kama kuchachana kushona ingekue nguo mngenita cherehani,sina mpinzani vina vizito mno wala usilete vurugishani wala mizani me ndo G nani ,natokea mombasani matusi huku ni utani kumako mwanangu huku nikama salamu ,natamani nihame kenya niende zangu darsalamu,sababu misingi ya hiphop atlist wanaifahamu kata hamu ,rest in peace mwagadamu,ni smutha bado zam kwa zam nashika hatamu maneno yangu matamu,mistari kali kem kem danger kama kemikali geto mwakingali nikuogope kwani we ni nani penye nimesurvive kama soldier dogo huwezani ,kama una chuki kaambie mganga wako mtaani,
You may also like

Leave a comment