icon

64 Plays

1 month ago

nilianza kua icon toka tumbon kwa mama naijua hustle kuvuja jasho wanafiki wana ckua na lengo na dhumuni zaid yakuchana leo nmechill more bills zinakimbizana michano nn jifunze kwa mm i dont give a fuckin damn nina jiamn wote wako chin hakuna kama mm ucje kushindana nam all i do is win this win this early in the morning watu tunasaka pesa maumivu meng moyon tushasonywa tushachekwa unaendekeza mapenz alafu kwenu kuna njaa unajikuta mnyamwez huna hata pa kukaa nilipotoka ni hatua sio simple ili ni gharika cio mvua wala mafuriko zamu yangu imefika yangu mpishe mwende likizo nimekuja kuwatesa na kuwapmatatizo uwasema nn tena kuhusu mi uliza kwetu wanajua who is ykb ama king ukiniona nipo bling bling dont fuck with me ukizingua nakutingting oya ona wauni tunawasha moto hatuna utani ukizingu upite kushoto hizi levo za wakubwa wala cio kitoto mistari mikalu inaungaza hakuna majotro kama noma iwe noma mlimteka braza roma mlizani tutakoma sasa tumewasoma tunatumbua nakuwashona mi na mdudu mkali wakutibu ugonjwa wa korona verse hii iwe dedication kwa my niggas in the street if ubelive u gon make it you gonna see ur dream is the motivation if u believe in god one day u gonna make it

9 Comments

Leave a comment

1 month ago

Bars: Great 🎉 Delivery: Great 🎉 Impression: Great 🎉

Bars: Nice 🌟 Delivery: On point 🎯 Impression: On point 🎯

Bars: Dope 🔥 Delivery: Dope 🔥 Impression: Perfect 💯

You may also like