Yummy (22:41)
0:00
0:00
this is the best i like i wanna play lakini sijapata kuplay mana wengi waniplay play,babe nipe chance ni dance dance,tena haya mapenzi yanifika kwa koo yanikaba mimi,huku duniani mapenzi yamenishindaa,huku ni kama nimekufa moyo,bado ninamatumaini ya hurulaini ndio mana nasali sana,mi shekhe si ustadhi,this is the best i like i wanna lakini sijapata kuplay mana wengi waniplay play,
You may also like

Leave a comment
See track description ↑