mama yangu ungekuwepo singe pata taabu
0:00
0:00
mama yangu ungekuwepo singe pata taabu siku nyingine naumwa nakosamatibabu me naona mungu amenipea adhaabu mpaka hii dunia national ya ajabu kama chozi lingekurudisha mamangu me ningelia usiku na mchana .me nao.ba mungu ulale Mali pema .umetangulia ipo siku tutaonana mama.nakukumbuka. usiku silali nakuwaza wewe mpaka najuta mbona umeondoka umeniwacha mwenyewe ..yaliyonikutaa mama wala sisemii nalia mwenyewe
You may also like

Leave a comment
See track description ↑