PRENDELO (23:29)

0:00
0:00
PRENDELO (23:29)

mi mi mi mi naweza ntafanya ntafanya x2,kilicho nileta hapa ni pesa tu,mimi sinaga Mambo mengi,mi napenda kazi tu,mi ni mfanyikazi mzuri tu,mi naomba unipe kazi bosi,ntafanya vizuri tu,mi mi mi mi naweza ntafanya ntafanya x2,naweza kuonyesha vile naweza kazi,mimi si mvivu ninamkono wa haraka tena napenda kunena,ila bosi nakwambia ukweli mi napenda sheshe,vinywaji sichagui,warembo nacheza nao,tena nakesha nao hapo kwa ofu nipe,mi mi mi mi naweza ntafanya ntafanya x2,

1 Comments

Leave a comment

Author
2 years ago

See track description

User avatar
724
Total plays
100
Followers
15
Following

You may also like