Said Said

Pressure (21:56)

Said Said
Pressure (21:56)

1 Plays

3 months ago

siwezi sahau enzi hizo,sitakusahau wewe,ulinitumia ukanichezeaa sisahau,kwasababu nilikupa ulichotaka,wewe wewe wewee x2,mapenzi umenipa kwa sawa sikatai,heshima kweli ulinipa sikataii,badae ukabadilika ukawa kama sukari kwa chumvi,heri ungenambia kama nimekukosea ningejifunza nikabadilika,kazi kila aina nilifanya ili nikufurahishe,kila nilipopita madukani nilinunua kila unachopenda,uwajibikaji wangu kwako ulikuwa fity, siwezi sahau enzi hizo,sitakasahau wewe,ulinitumia ukanichezea sisahau,kwasababu nilikupa ulichotaka,wewe wewe weweee x2,nilikosana na marafiki zangu wa dhati kwa wivu wangu kwajili yako,naumia sana nikikumbuka ile siku ukanambia nikatafute mali nyingi ili niwe mume wako,nikikumbuka naumiaa naumia,umecheza ukashinda ukaenda kweli,tena ukarudia kunambia neno lingine mapenzi bila pesa ni baa la mnazi,siwezi sahau enzi hizo,sitakusahau wewe,ulinitumia ukanichezea sisahau,kwasababu nilikupa ulichotaka,wewe wewe weweee x2.

1 Comments

Leave a comment

You may also like