Rain man (21:57)
kichwa changu kimejaa kimejaaa,stress stress stress sress stress,mpaka nimeshindwa panga vitu zangu sawa,mambo yangu mengi yamefeli yamefeeli,nimeingia mwenyewe shimoni alafu nje naomba msaada wa nini?,hata nikifa mimi sijilaumu bado watu watalaumu,bado ukieleza hisia zako watu hawakuelewi hawakusikizi,ya nini niwambie shida zangu watu?,shida zangu zangu naelewa,kichwa changu kimejaa kimejaaa,stress stress stress stress stress,mpaka nimeshindwa panga vitu zangu sawa,kama mapenzi nimemuachia nyota nikagundua si kai ka nyota,nika give up alafu pesa sina, moyo wangu siwezi ulazimisha,marafiki nao sina,hatakama nao nikama sina,mimi ndio sheria nimejuaa hakuna wa kunishauri nifaulu,wengi wao wanapenda mi nitoboke ka pancha ili nisiendelee kuenda mbele,hio ndio furaha yao,kichwa changu kimejaa kimejaaa,stress stress stress stress stress,
You may also like

Leave a comment
See track description ↑