imeisha
Mwaka imeisha tena sitaki wala aisha pesa mingi Hii mwaka hakuna kulala story mingi wala sitaki Kaka wakiuliza God works wakati si kupoteza ka kawa madawa niligawa Freezen sifa ka mugabe Kwa hii familia mkate nusu haikuliki wacha we mrui uhuru bei inapanda juu wira ilijipa pesa inalipa kilo zinasonga kila day wanabonga to bad mi si mother karua Nikipata pesa bado nitarauka Too young Life ni ya thug additional medication She a fine ting napenda Mali ni tiff tiff we running to the top Highest in room Anabonga too bad wira ilijipa pesa nalipa kilo zinasonga kila day Hater akitujaribu very bad den of lions utatoka mbio We got nothing to loose Kila ni gain nilishow bro tutaball Siko peke yangu sikuizi i pray God Ye hajai ni fail asubuhi njema uhuai ni mwema tuko kando ya hema Acha kubonge kiasi kizazi kimehariba Tume lala marahaba akuna Life short kwa maktaba Natumia pencili kuandika wino ikimwangika natumia rubber perfect size ilibidi amesaka daktari Mwaka imeisha tena sitaki wala aisha pesa mingi Hii mwaka hakuna kulala story mingi wala sitaki Kaka wakiuliza God works wakati si kupoteza ka kawa madawa niligawa Freezen sifa ka mugabe Kwa hii familia mkate nusu haikuliki wacha we mrui uhuru bei inapanda juu wira ilijipa pesa inalipa kilo zinasonga kila day Starshine kwa game I'm on top kwa realm ,sleepless nights sipati , anataka kudandia mat Imejaa Ye si kisirani zikishika zinashika na majirani Tuko daily juu hewa moshi ikiwaka hadi watahema (uh uh uh watahema ) Mi sitarundia naconfirm ka rudisha Tunazitoka videadly mi na macharjie Juu ya prime juu ya prada Tunaifanya bila haraka cake tunakata daily Nilijua I get the cash every day dream nikiball mara tano ka maradona Pesa youngish I'm best nitoe mi ndo refa wacha pupa finnesse em lines man natao kidogo Wasanii wanaball NO limits Doba to da top...Akuna remix Punisher kwa streets Ameangamiza vijana ni tricks Back to them sipendi masnakes macops no co operation siko kwa block na Nilishow bro tutaball even tho nilidraw kwa crime siko Court lurking Ukiniona kwa streets blood cold
You may also like

Leave a comment