TBT
231 naanza kama hoja walotutishia bado si twa wangoja ngoma aina moja🎤 hip-hop unaugua roho mishale yakuchoma sababu yakinyongo mpaji yuko juu na haujui ana duu kulala nusu yakufa tuko kwa maarifa punguza makaashfa mamba ndo ster hamtambi kwa kitaa zenu zenu za vichaa mivass mnagema namuacha mkihema round hii siachi tena naongeza kama bima serekali kina fela namuacha mkinyamba ninatamba toka huku mpaka home kwetu bamba dogodogo nina come utanikuta .com kila beat nikigonga inasound kama bom nakuziba kama rumu usikikimbie majumu down down mor town kitaa flani hivi vijana wamepinda wanasota kama punda ninakaba kwa snea naenea kama hewa niko zangu bato nikifoka ni hewaa mamba g kapewaa nikifika kahawaa vile napenda nyama kamalaya kapewaa hip-hop kwangu damu
You may also like

Leave a comment