Freestyle 4

0:00
0:00
Freestyle 4

one two three ndani ya maiki ndiko niko na rap kama hewa kwahiyo ilipo ndipo nipo na rhyme kwenye ukweli kwenye unafiki uko siko yangu ni kwa personal kwenye fame pipo zipo rap ipo kwa damu nilianza rhyme niko eight napiga bars ngumu nazi born overweight mind ina collapse kila mstari ni debate fame magetoni duniani ni under rate na mke mkali getto siopoi mishangazi mwamba sina huruma niko studio na wanazi sauti ziko juu tuna uwezo na hatupazi tushapata kazi now muda wa kupiga kazi

2 Comments

Leave a comment

Author
2 years ago

KILLED IT 😵

User avatar
1.14k
Total plays
61
Followers
2
Following

You may also like