bado sioni
ulikua wakwanza uliposema hutaniacha ukazidi kunkenga na maneno yakupumbaza nkakupa moyo baby ukaniachia somo kwenye ziwa LA mapenzi ukanilisha sumu sikujua ni ushenzi haya mapenzi yangeni dhuru nilikuita baby mama kisa ulikuaga na mwanya yani vipi nlipagawa au ulinshika madawa uliniambia niwe makini kumbe uligawa vya siri just take care si eti kwamba naongopea nilitaka tuwe pea dua nyingi kukuombea me bado ... na kila nikikuwaza machozi yana jongelea maumivu nishazoea hili pori natembea SAA ya nn tubishani nkaamua kujitenga haya mapenzi haya ulinivunja moyo me nafsi ikasema BA's I wish ungelijua nkliyokupa nafas heri bora ungeniambia kuliko kunikimbia wee ulishidwa vumilia na hukutaka kuniambia home geto ni balaa shida tulishinda jaa nakipato cha dagaa kamwe hukuiona raah
You may also like

Leave a comment