freestyles za jan

0:00
0:00
freestyles za jan

unasema niimbe uone kipaji changu basi nilipe unasema nipige hip hop swali ni je utaweza kunilipa ama vipi? hakuna kazi isiyokuwa na mshahara hakuna kazi iliokosaga hasara kazi ni kazi bora mshahara njoo kibiashara usije kuniona fala kila mara ukiona kwa barabara ama mnione ninangara mkanitoa kafara kama story za kule shakahola sitaki story za jaba ama wala bin wala usiwe kama yule fala anaomba pesa ya sigara halafu baadae tumchangie mapafu yameoza wenye wivu mniekee bifu na muwe wavumilivu kila siku mnapokula mbichi mi nakula mbivu and this is what we do ndo tuna come through hii ni kionjo tu so wacha ujuaji mwenzako akinyolewa bruh na chako weka maji wasema mziki ni kazi ambayo eti halipi aah wapi? hiyo umeskia wapi? nimekataa kata kata maana kwa mziki mi nimedata data ju mafans nimepata collabo ninafata kila time kila saa me rapstar yes of course I'm a star nimetoka far na bado ninapaa na ukiskia paa jua imekukosa ndiposa wanataka kunitoa makosa don't you see how I'm shining come and see how I'm rhyming ni vile sina doo ndo natoka timing na by the way ningekuwa far away mi nahustle everyday na nahurstle any where anyway ju mi nasaka pay kazi ni kazi mziki ni kazi naamini ipo siku nitapanda ngazi sijui ka ni lini nitapata kiki kiki maana sina kazi kazi ni piki piki yeah i told yah step ni moja moja moja kwa moja leo nawaonyesha vioja ukija kivita mi ni soldier hakuna kungoja niko mbele mbele we ngoja leo nawanyoosha kama pili pili vile nawasha washa wengine hawana kazi kazi ni kupiga tu kelele backbiting foolish idlers i don care whoresee waswahili wanasema rahisi hushinda mpishi na mi sitaki ubishi niko studio namafanya maangamizi na mi huu mwaka niko busy jikoni nafanya maandalizi maana safari ya kesho huanzwa na leo nina mistari strong nangata kama fisi maneno yao walaniisi hata hayanitishi hip-hop mi sio mwanzilishi lakini ndo mwakilishi mi ni mwandishi nikiandika wanajua ni mazishi na nangania ju mi ndo kinganganishi nimekuja in peace lakini nawafanya in pieces kuchana mi nachana iwe usiku iwe mchana wote mi nawachana uwe mvalana uwe msichana kote mi najulikana hindi paka malindi ju mi nakazana na ujinga mi hua spendi nikupe pesa bila kupepesa hapa ni money sending tunatesa tesa na vipusa si daily tunaspend mi nasaka doo kila pahali bro mi nasaka money yani mi nasaka mali na akili ni mali nasema time is money tunaenda na wakati tunasaka noti na maplot hip-hop is my hobby nataka nichane mpaka ifike Nairobi kijana kutoka Tana Ngao London kote najulikana wanacopy

7 Comments

Leave a comment

Author
3 years ago

See track description โ†‘

3 years ago

๐Ÿ†๐Ÿ†๐Ÿ†๐Ÿ†๐Ÿ†๐Ÿ†๐Ÿ†๐Ÿ†๐Ÿ†๐Ÿ†๐Ÿ†๐Ÿ†๐Ÿ†๐Ÿ†๐Ÿ†๐Ÿ†๐Ÿ†๐Ÿ†๐Ÿ†๐Ÿ†

3 years ago

Keep crafting your story, it's already captivating! ๐Ÿ“–๐Ÿ”ฅ Bars: Great ๐ŸŽ‰ Delivery: Great ๐ŸŽ‰ Impression: Dope ๐Ÿ”ฅ

3 years ago

Hey @homeboygza.10073091, We're gonna drop some tips for your track 'Freestyling in Jan 2024'. Let's get it! 1. Practise ๐Ÿ™ - If you don't get it first time, no worries, you can always give it another go! 2. Rap music is about the whole package! ๐Ÿ“ฆ Be sure to show off all the skills that make you great! 3. Keep experimenting with vocal effects! Sometimes less can even be more! ๐Ÿ˜ฒ Test different effect levels and settings to find the best balance! 4. Defo try out our denoise feature to minimize any background noise on your track! ๐Ÿคซ 5. Why not upload or record a video to go along with your music, that way you could get featured on the Popular Video section! ๐Ÿ“ธ Send your next track to hot so we can see how you took our tips on board!๐Ÿ’ช All the best, The Rap Fame Team ๐Ÿ˜Ž

TOUGH ๐Ÿ˜ฎโ€๐Ÿ’จ TOUGH ๐Ÿ˜ฎโ€๐Ÿ’จ TOUGH ๐Ÿ˜ฎโ€๐Ÿ’จ TOUGH ๐Ÿ˜ฎโ€๐Ÿ’จ TOUGH ๐Ÿ˜ฎโ€๐Ÿ’จ TOUGH ๐Ÿ˜ฎโ€๐Ÿ’จ TOUGH ๐Ÿ˜ฎโ€๐Ÿ’จ TOUGH ๐Ÿ˜ฎโ€๐Ÿ’จ Champion ๐Ÿ† Champion ๐Ÿ†

3 years ago

Bars: Perfect ๐Ÿ’ฏ Delivery: Perfect ๐Ÿ’ฏ Impression: Perfect ๐Ÿ’ฏ

3 years ago

Keep grinding โœŠ Stay lit โšก Bars: Perfect ๐Ÿ’ฏ Delivery: Perfect ๐Ÿ’ฏ Impression: Perfect ๐Ÿ’ฏ

User avatar
23
Total plays
8
Followers
0
Following

You may also like