Rajab Hamisi

masnitch

Rajab Hamisi
masnitch

32 Plays

10 months ago

masnitch masnitch masnitch, kwa street atutaki masnitch, ju warazi hawana kazi, wanataka kuharibu hiki kizazi, na this time tutawapa Kali. (×2) Inal fatral wa final khana, masnitch wanabonga Kama waschana, mi na shangaa ni mini bana, this time roho ya kisonjo, ukibugi mangoto sitaki utoto. kweli walituma madci, but according to ballistics, wali found nothing and that's it, pengine wasema our characteristics. lazima mujue ni rango, lazima mascandals, hii ni gang sio chama, jicho nyanya ni nimetafuna shawarma. mother fucking snitch, son of a b**ch, round hii kuja mzuri au rende yangu itakudish.**masnitch masnitch masnitch. masnitch masnitch masnitch, kwa street atutaki masnitch, ju warazi hawana kazi, wanataka kuharibu hiki kizazi, na this tym tutawapa kali. (x2) walitaka nilale prison, hawakutaka kujua the reason, tulichange from last season, last time niliandika apology without saying am sorry, na sikuogopa hizo mangori, my brothers never worry, kwa street kama we ni sn**ch bora uzip hatutaki mastory, hatuitaji conversion, hatutaki preparation, we r ready for dhe next occasion, hii ni lost generation, don't ask many question, tunatake over diani nzima 254 the whole nation. masnitch masnitch masnitch, kwa street atutaki masnitch, ju warazi hawana kazi, wanataka kuharibu hiki kizazi, na this time tutawapa kali.

5 Comments

Leave a comment

10 months ago

This track has serious potential, keep it up! 💎🎶 Bars: Dope 🔥 Delivery: Dope 🔥 Impression: Perfect 💯

10 months ago

Killed it! 🎯 Killed it! 🎯 Keep grinding ✊

10 months ago

okaaaaaaaayyyyyy keeeeeep pushing this is different fire

You may also like