Smutha Salim
Smutha Salim

best from de rest

best from de rest

33 Plays

7 months ago

am the best of best ,fresh from the rest,namba moja kwenye list ,kwenye beat me ni beast x4,.... smutha kwenye rapgame am the big papa,as long as am alive huskii kenya marapa watazidi ku suffer,bado kapa nazidi nawachapa,smutha naapa kua hapa hapa,kuwapa muziki tam tam kutoka ndani ya dam,toka zamani kwenye kipaza siwezekani,nikiwa jukwaani sishindani,feck mcz wanaigia gizani,pisha njia nani,nahubiri upendo amani yani sinaga mpinzani ,swagare nomaree,me ni mnoma kizee ,wakati uko ndee ukiomba kindee napiga dili ya dolla million kindee ,fuck with me ujipate umekujiwa na rdu dci gsu na mavibare za righee level zangu ni zii kizee ,Huna hela funga domo nani akutetee kata stimu zako but upuzi g usiniletee ,usiniletee shida ni zangu we sio yesu unibekee ,kama una chuki nami heri kata salamu na wala katu usinichekee ,my future ni bright ju ya kufight na life tia bidii pia kidume ujitegemee

6 Comments

Leave a comment

7 months ago

Sickkkk 🤧 Slime 🤝 Slatt 💯 WET 🏀 Slime 🤝 Word Up ⬆️

7 months ago

good work keep it going let the haters hate

7 months ago

am the best of best ,fresh from the rest,namba moja kwenye list ,kwenye beat me ni beast x4,.... smutha kwenye rapgame am the big papa,as long as am alive huskii kenya marapa watazidi ku suffer,bado kapa nazidi nawachapa,smutha naapa kua hapa hapa,kuwapa muziki tam tam kutoka ndani ya dam,toka zamani kwenye kipaza siwezekani,nikiwa jukwaani sishindani,feck mcz wanaigia gizani,pisha njia nani,nahubiri upendo amani yani sinaga mpinzani ,swagare nomaree,me ni mnoma kizee ,wakati uko ndee ukiomba kindee napiga dili ya dolla million kindee ,fuck with me ujipate umekujiwa na rdu dci gsu na mavibare za righee level zangu ni zii kizee ,Huna hela funga domo nani akutetee kata stimu zako but upuzi g usiniletee ,usiniletee shida ni zangu we sio yesu unibekee ,kama una chuki nami heri kata salamu na wala katu usinichekee ,my future ni bright ju ya kufight na life tia bidii pia kidume ujitegemee

You may also like