Iamnastysmile
Iamnastysmile

freestyle no 07

freestyle no 07

43 Plays

7 months ago

siko na doo hata kidogo ukija geto nachomiliki ni Mali boro life gumu dadazetu Wanatoa double chance,Move bitch get out of my way,Nimetingwa msusi nasuka misungo first bingo hii rap bongo inavituko, wakazi hana kazi pande hizi no keshi simanzi shazi pandehizi, Mitaa naiwasha tochi kama bongo star search naanza na movie then trela sina hela nikizipata ntawamisi masele, mom told me niwe mbishi nijimix nikijipata nisimsahau baba, wanga utandu kila Kona kinoma noma kama noma naiwe noma, siyo leo tu tokea juzi mi mjuzi mistari naifuma nyuzi mingi bichwa tungi,usiyempenda ndo dada kamfol

8 Comments

Leave a comment

7 months ago

I'm Shook 😱

Bars: Dope 🔥 Delivery: Dope 🔥 Impression: Dope 🔥

7 months ago

Bars: Great 🎉 Delivery: Great 🎉 Impression: Great 🎉

You may also like