Bruno Jewel
Bruno Jewel

Bruno Jewel - Mood off freestyle

Bruno Jewel - Mood off freestyle

47 Plays

7 months ago

huwezi fikiri kama mngoni kwa kutumia kingereza, mate ukishayaona machoni huwezi tamani kuyameza, tisa haiwezi kuwa kumi ukiidharau moja, mjadala huweza kuwa ngumi ukiidharau hoja, mi ni bed yenye kunguni terrifying soldier, ukinicheat naku block mi huwa silei boja si wakazi wa huu msitu so hatulipiwi pango, nimekua nilichopanga so huwa sipangiwi mambo, ukipata futa vyote hata sahau ulivyokuwa, utakwepa miba yote ila dharau zitakuua, akili yako changa kwenye hii class keti on front seat, coz only time you are a bull is when you do the bullshit

1 Comments

Leave a comment

You may also like