buru diss
chunga mliako nchunge changun walisemanga ni elu kamanu alikulanga sai ye ni mtamiako waliesemanga ni mtamu mno chunga sana utamu wa koo alinyongangwa gwati na kamau nlimshow m utamu wa roo alivunjika katapikie choo c uroll na denga sai tunawableach kama tuko matembe i geng ni ya pemba ukisnitch tatu utakula mbembe c hakna kutrip maburuklyn boyz ni wasee wa mushene c ndo tunawadrip dawa yao wakate mufene TRB tumekuja na nare tunawasha kuliko ,a kale KRG namba nane kumpanga kimistari ka babe BRC wire ya tambe tumeshika kuliko tambe NRC ni chama nare kuwamuliko na matambe tunapandisha sykes kwa streets tunawakanyanga kama ny n mabitch kwa gii genge hakna kutrip tumewashinda tmepiga lean tumepiga cocktail ya gin tumekuja na mamoti cc hakna kuchoma pick lazma buru ny mtatii tumeingia na denga buruklyn kenyan lazma mtahema wanaitisha pema hawajui kutenda mtuone nyuma ya hema c ndo mahater tunajua kutema these time hakuna kusepa tumeleta flavour hakuna kuenda tunawafanya supu ya pweza
You may also like

Leave a comment
See track description ↑