BADBOY (10:02)

0:00
0:00
BADBOY (10:02)

kwa mtoto wa kiume tamaa tamaa haifai cha mwenzako sio chako pambana upate chako na usitamani cha fala unaweza uka kukuta msala ukapigwa hata kipara kwakupenda sadala ukikomaa ina wezekana wai utegemee cha mtu umezaliwa siku moja na ipo siku utakufa na utaacha kila kitu km unafanya fanya ufanyacho usimuogope mtu

1 Comments

Leave a comment

Author
3 years ago

kwa mtoto wa kiume tamaa tamaa haifai cha mwenzako sio chako pambana upate chako na usitamani cha fala unaweza uka kukuta msala ukapigwa hata kipara kwakupenda sadala ukikomaa ina wezekana wai utegemee cha mtu umezaliwa siku moja na ipo siku utakufa na utaacha kila kitu km unafanya fanya ufanyacho usimuogope mtu

User avatar
1.67k
Total plays
260
Followers
12
Following

You may also like