vedi
0:00
0:00
from time kazaliwa ghetto uko ndani kwa madealer, place ukitrain unageukanga killer,,dishi ni lazma ata ka hkna wira,,navuta magode kufukuza mavode,tupatane irima tujuwe nani stima,,watu c watu ckuizi ni mafyatu, police na roba bdo wameshika doria,, sazingine nikidoz naonanga ule matha,,mjanja kuwa fala ni tactic ya thegi,piga luku moja safi yakuwaseti navichwa mkiseti nawapona vibeti,, midlle finger wapi natambua triga finga,,ukirusha narusha ya kuzaliwa nyonyesha,,
You may also like

Leave a comment