utangoja
0:00
0:00
yo naeza waambia kitu moja ka ni vita we leta utangoja hiyo ni bangi imesundwa kwa ngotha na miuwa sipendi mastori za chocha na naeza rewind ka chapo na pocha niki kumbukanga mambo ya locha yo juzi orezo aliingia na chocha kuna watu wamekosa kazi wamerudi ocha mi ndo mpanda ngazi kushuka ndio utangoja bad man kabagazi nili arrive akitoka mi ndio mfanya kazi mwisho wa mwezi ndio nangoja yo big size kwa rodi na flex ma muscles lan lord makodi amepata cassuals
You may also like

Leave a comment
See track description ↑